Baada ya uchaguzi jina Nyota lilipitishwa katika mchujo ule ndani
ya chama chake. Nyota lilivyo jina lake sasa akang’aa zaidi ya wengine.
Ilikuwa jambo aula na la kushangaza kuwapiku wagombezi wake zaidi
ya wanaume wanane bila kutia jasho walivyofanya wao. Ama kweli
Chanda chema huvikwa pete. Jina Rais liling’aa kila pande ya nchi hasa
tamko mwanamke Rais likawa la kwanza kuingia vinywa vya watu.
Uchungu wa Majuma uligeuka sherehe yenye vitamu na vinono. Majuma
kwake aliridhika kwani Chozi lake lilikuwa limebadilika na kuwa furaha
yenye tabasamu.
“Mungu si mtu. Mungu siku zote hamwachi mwanawe.” Alijiambia
Majuma huku ameketi ikulu ya mwanawe.
Hapo kijana mmoja kwa jina Emmanuel alisimama na kumpa pongezi
kwaa shairi lake Salim Shekh.
Chozi Langu
200.00 /= – 500.00 /=
- Author: Eliud Mukungu
- Edition: 1st
- Language: Swahili
- Publisher: Jaysons Elimu Publishers
No more offers for this product!
General Inquiries
There are no inquiries yet.
Reviews
There are no reviews yet.