Elong'o Publishers

Safari ya Mauti

150.00 /=600.00 /=

  • Author: Gitonga Murianki
  • Edition: 1st
  • Language: Swahili
  • Publisher: Elong'o Publisher
  Ask a Question

Insi awapo katika himaya yake ya kuendeleza ghorofa ya maisha, katu huwa katika baraste iliyojaa mengi asiyoyajua. Je, umewahi kujikuta kwenye njia usioijua? Kulingana na wasomi ni wazi kuwa kupotea njia ndiko kujua njia. Riwaya hii itakupa jibu mwafaka!

Safari ya Mauti imemsawiri binadamu katika ubinadamu wake wa sura, maumbile na hisia. Maudhui mengi ya kisasa yamechorwa ili kumpa msomi namna ya kuzikabili katika harakati zake za kila leo. Mathalani; Elimu, Ufisadi, Siasa, Dini, Tandavu, Teknolojia, Mapenzi nk. Miongoni mwa maudhui ainati yaliyokiumba kitabu hiki chenye mnato.

Umilikaji wenye mwonjo wa fani kochokocho za lugha umeipamba na kuiremba riwaya hii.

Mwandishi Bw. Gitonga amekuandalia fasihi yenye utamu na wingi wa tafiti. Usikose kukiwahi katika maduka ya vitabu. Ama kweli aendaye kisimani mbele hunywa maji maenge.

    

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Safari ya Mauti”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

No more offers for this product!

General Inquiries

There are no inquiries yet.