Blog

SUGAR DADDY

Kama tissue zingekua na mdomo wengi wetu tungekua jela Nilimwagiliwa maji nikararuka wakakosa saviet wakanitumia Binadamu ndio malandlord na septic tank ndio keja mi hurent Napendwa Sana in the beginning but in the end me Ni waste product Karibuni kwenye storymoja Moto ya mbuyu Fulani poko anaye-take advantage ya usonko kumisuse Madame kingono. Kitambi chasugar daddy kimejaa kwa Sharti kwa sababu ya ganji ya dhambi Bado tu Ni uhondo, nitatumia lugha yetu ya soko kwa sababu kingoso Ni wako yake ya uongo,what I mean is kimombo itakua kidogo na labda hata Kilowtone kwa sababu kimila pia Ni lazima tujipatie promo...

Continue Reading →

JINAMIZI LA UJANA

Kwa kweli nilighairi kwamba ujana,si ujana tu ila usipochunga utapata vidonda na makovu yatakayo kukumbusha mengi.Ua la waridi  umetameta na kunukia siku ya kwanza lakini baada ya muda unyauka na kupoteza umbo lake la kupendeza. Wazo hili lilinijia nilipokua nikijinasua katika mawazo yangu baada ya tukio ambalo liliwaacha waja wa Adamu na  Hawa vinywa wazi katika Chuo Kikuu Cha Ubora Kusini mwa bonde la ufa, nilikua mwanafunzi wa mwaka wa tatu nikifanya taaluma ya utangazaji na mawasiliano. Machweo siku ya ijumaa, kila mtu akiwa katika shuguli zake kuelekea darasani kupata maarifa,nikiwa katika mwendo wa kasi nilipatana na shogangu Pamela ingawa...

Continue Reading →

OUR CULTURE AND EDUCATION

Education without cultural strings becomes a loosely hanging repository commodity. This is because culture forms the content in the education. Therefore it's imperative to promote culture in the education system.  Notably, the aims and ideals of the education are positively influenced by the values of the contemporary society.  Art being an incentive for any   educational programme, has wired the values important from the society deep to the education system. Culture has immensely and positively influenced education in the following ways. In the preparation of the curriculum, the society via culture dictates the transformations to be considered for what is...

Continue Reading →

Poetry as a Lifestyle

Poetry is literature that evokes a concentrated imaginative awareness of experience or a specific emotional response through aesthetic and often rhythmic qualities of language such as sound symbolism and metre. For you to become a good writer of poetry you have to read widely and write as much as you can. The following are some of the tips of poetry writing Let your subject find you. You don't find your subject, it finds you. Tap into your own feelings The poems that I like most are where the engine is a very emotional one. I think that poetry is a...

Continue Reading →

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.