Eliud Mukungu ana shahada ya BA ( arts) kutoka chuo kikuu cha Makerere Uganda. Amechapisha kazi ainati ikiwemo hadithi yake ya’Nizikeni Nifapo’ katika diwani ya Kitumbua cha mauti na hadithi nyingine, Riwaya ya Moyo wa shujaa. Kwa sasa ni mwalimu wa kiswahili kwa mojawapo ya shule kule Lodwar.