Jared K. Mwanduka ni mpenzi na gwiji wa lugha ya Kiswahili. Kitabu hiki chake cha kwanza kinasimulia mambo yanayotokea katika jamii na kuleta mtanzamo mpya wa mawazo. Bali na tofauti za fikra na mawazo kinzani, anasimulia kuwa kuna umuhimu wa kuleta mabadiliko na kuasi mabaya ili kukubatia mazuri.