Guvu za Sindano

Anyolewaye kwa chupa hawezi kusahau. Hakuna tuzo ipatikanayo kwa maovu. Antholojia hii imesawiri maudhui yatakayokupa motisha ya aushi. Imeyazamia masuala haya na kuchora taswira halisi ya jamii ilivyokuwa, ilivyo na inavyopaswa kuwa katika siku za halafu. Kitovu cha Hadithi ni kundi lililozalisha waandishi wenye tajiriba katika tasnia ya fasihi. Baadhi yao ni washauri na watahini katika mitihani ya kitaifa.

Kaka Fred na Mwalimu Sammy ni wahariri wenye ufundi mkubwa. Wamehariri makala mengi na kushiriki  kwenye vipindi mbalimbali vya makuzi ya Kiswahili.  Diwani hii ni tuzo kwako ewe msomi! Hutakosa kunakili kipya baada ya kusoma. “Kusoma kuna maarifa nayo elimu ipate vitabuni” Tomkim Seneta Barasa.

KShs300.00KShs500.00

Clear
Author
SKU: N/A Category:

Book Details

Choose Copy

eBook, Hard Copy

Publisher

Elong'o Publishers

About The Author

Kaka Fred

Kaka Fred

Kaka Fred ni mwandishi tajika aliye na umilisi wa fasihi ya watoto. Ameandika miswada ainati ikiwemo Riwaya, Diwani ya Hadithi Fupi na Vitabu vya kiada.

 Malengo yamesawiriwa vilivyo ili kumpa msomi yeyote mbinu chanya ya kukabili maisha. Asilimia kubwa ya waja hukata tamaa pasi na kujua kuwa baada ya giza ni nuru. Usitumie mate tumia wino!

Anyolewaye kwa chupa hawezi kusahau. Hakuna tuzo ipatikanayo kwa maovu. Antholojia hii imesawiri maudhui yatakayokupa motisha ya aushi. Imeyazamia masuala haya na kuchora taswira halisi ya jamii ilivyokuwa, ilivyo na inavyopaswa kuwa katika siku za halafu. Kitovu cha Hadithi ni kundi lililozalisha waandishi wenye tajiriba katika tasnia ya fasihi. Baadhi yao ni washauri na watahini katika mitihani ya kitaifa. 

Kaka Fred na Mwalimu Sammy ni wahariri wenye ufundi mkubwa. Wamehariri makala mengi na kushiriki  kwenye vipindi mbalimbali vya makuzi ya Kiswahili.  Diwani hii ni tuzo kwako ewe msomi! Hutakosa kunakili kipya baada ya kusoma. “Kusoma kuna maarifa nayo elimu ipate vitabuni” Tomkim Seneta Barasa.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Guvu za Sindano”

Your email address will not be published.