Featured

Ballots of Bullets

Ballots of Bullets is a historical riveting fictitious account of the Kenyan 2007 post-election violence and its aftermath: loss of property, loss of life, displacement, emotional and psychological torture among others. Tabby and Fenuku meet at the airport while fleeing. Upon interaction, they learn that they have been devoured by the same monster: violence. Fenuku’s father, Mr. Obuu, the electoral ICT manager is murdered in cold blood for his firm stand of ensuring to deliver valid election results which are to be transmitted electronically while Tabby’s mother and siblings are torched from their house while Papa is away on a...

Continue Reading →

Kitumbua Cha Mauti na hadithi nyingine

Katika pilkapilka za kulivuka daraja la ukata ili kuupakata ukwasi, wapo watumiao njia mkato na wapo wajitumao kwa bidii na haki wakimaizi kuwa hawafai kuwa kupe. Kitumbua cha mauti ni antholojia iliyosukwa ikasukika kama mswala. Imejumuisha waandishi wenye utaalamu wa hali ya juu na wenye macho mapevu yaliyoangaza maudhui ya kisasa. Inajivunia anwani anuai zenye mafunzo ya hekima na tabasuri zinazotahadharisha na kueneza injili ya usawa na kupinga mitazamo hasi katika jamii ya wanaleo. Wahariri wamepiga mbizi na kuzuka na upanzi muafaka utakaokufanya ukienzi Kiswahili na fasihi. Kaka Fred, Ustadh Kamau na Okwalo Wambani ni mfano tosha wa wahariri mahiri...

Continue Reading →

Hope in Darkness

Hope In Darkness is a fictional inspirational book meant to motivate and encourage the less privileged people, young, old, disabled and non disabled who suffer as a result of circumstances people within our communities do and subject them to. It's a book for the orphaned, mistreated and their tormentors aiming at making the latter think twice of their actions and bringing them to the realization that their day of reckoning shall surely come. It denotes a story of Ajah, a girl who struggles to make it through in life after losing both her parents at a tender age and ends...

Continue Reading →

Barua Kwa Moyo na hadithi nyingine

Dunia inapita kwa Kasi sana. Wakati nao hausimami. Jua nalo lakimbia. Ni hali hizi na nyingine ambazo  zimemfanya binadamu kujipata katika tanzu zinazotatiza na changamoto changamano chungu nzima. Maradhi, siasa duni, ufisadi, dhiki, ushirikina, mateso, chuki, mauti, vita, elimu, uongozi mbaya, utamaduni, kisasi, wivu, ubaguzi, ugatuzi, afya, ulevi, shinikizo, bidii, ari, hiari, uvumilivu, subira, ufanisi, ushindi  na mapenzi ni baadhi tu ya mambo yanayomkabili mlimwengu katika dunia yake. Fasihi ndicho kioo au video aula ya kuyaweka makabiliano ya mja na ulimwengu hadharani. BARUA KWA MOYO WANGU na HADITHI NYINGINE ni fasihi iliyosukwa kwa ustadi ili kuyaweka wazi mapito ya mja...

Continue Reading →

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.