DARAJA LA UFANISI ni kitabu aula kinachoweka wazi masuala yote yanayohusiana na Mashairi na Sarufi. Vipengele mbalimbali katika ushairi vinavyotahiniwa katika mitihani ya kitaifa vimejadiliwa kwa fusuli.Mada mbalimbali za sarufi zimejadiliwa na maelezo yametolewa kwa uwazi kuhusu mitindo mbalimbali inayotumika katika utahini wa mada hizo. Aidha kina maswali tele ya mitihani ya kitaifa ya miaka ya awali. Kitawafaa sana wanafunzi katika maandalizi ya mitihani ya kitaifa.
Nguzo ya Uandishi
Price range: KShs300 through KShs800Add to Basket
This product has multiple variants. The options may be chosen on the product page


