Kisima cha mkata ni riwaya inayozungumzia matatizo ambayo huwakumba maskini. Je , maskini hukumbana na majanga yepi? Utapata visa vitakavyokuacha kwenye chumba cha sononeka. Mwandishi amechora picha halisi inayotokea katika maisha yetu. Maskini hupitia mambo mengi sana mathalani: unyanyasaji, dhuluma za haki, ukatili na hata mauko.
Malengo yamesawiriwa vilivyo ili kumpa msomi yeyote mbinu chanya ya kukabili maisha. Asilimia kubwa ya waja hukata tamaa pasi na kujua kuwa baada ya giza ni nuru. Nusra mwandishi akate tamaa lakini kwa msaada wa mwandani wake hakufanya hivyo.
Reviews
There are no reviews yet.