Ukweli kwamba tabia za mtu huwa sawa na rangi ya kinyonga ambayo hubadilika kulingana na mazingira aliyomo, kipindi hicho haukuwa umenipambaukia bayana. Aidha, kupatwa na mtamauko kutokana na kubadilika kwa Fatuma hakukuwahi nipitikia akilini. Siku zote nikishikilia kuwa Fatuma alikuwa ndiye yule yule wa juzi, jana na leo kitabia. Binti adibu kabisa… Je, ilikuwaje baadaye?
Reviews
There are no reviews yet.