Mwongozo huu wa Bembea ya Maisha ni kitabu kilichoandaliwa kwa umahiri sana ili kumwauni mwanafunzi katika tamthilia ya Bembea ya maisha na karatasi ya fasihi kwa jumla. Pia, kimeweka wazi vipengele vyote vya fasihi na sehemu muhimu zinazotahiniwa katika karatasi ya tatu.
Isitoshe, ni mwongozo muhimu kwa mtahiniwa na mwalimu kwa maandalizi kwani kinaweka bayana maswala ibuka katika fasihi andishi na vipengele anuwai na mambo yanayochipuka katika utahini wa karatasi ya tatu kwa jumla.{102/3}
Reviews
There are no reviews yet.