Zawadi ya Shaka na Shake ni tuzo kwa wanafunzi wanaopania kuimarisha umilisi wao wa lugha hasa wale wa gredi ya nne na madarasa ya tano na sita. Matakwa ya mtaala mpya wa umilisi yamezingatiwa. Ni hadithi babukubwa yenye wahusika Shaka na Shake wanaotunukiwa na baba yao kuzuru mbuga ya wanyama hasa baada ya Shaka kufafanua vizuri kuhusu lishe bora. Je, lishe bora ni nini? Mbugani nako ni yapi waliyoyashuhudia?
Kupata majibu ya maswali haya ni kupitia Kitabu hiki cha hadithi ambacho ukwasi wa lugha umo ndani.
Reviews
There are no reviews yet.