Blog

SUGAR DADDY

Kama tissue zingekua na mdomo wengi wetu tungekua jela
Nilimwagiliwa maji nikararuka wakakosa saviet wakanitumia
Binadamu ndio malandlord na septic tank ndio keja mi hurent
Napendwa Sana in the beginning but in the end me Ni waste product

Karibuni kwenye storymoja Moto ya mbuyu Fulani poko
anaye-take advantage ya usonko kumisuse Madame kingono.
Kitambi chasugar daddy kimejaa kwa Sharti kwa sababu ya ganji ya dhambi
Bado tu Ni uhondo, nitatumia lugha yetu ya soko kwa sababu kingoso

Ni wako yake ya uongo,what I mean is kimombo itakua kidogo na labda hata
Kilowtone kwa sababu kimila pia Ni lazima tujipatie promo
Masomo.mtafuta ndogo ndogo haogopi uchungu wa kisonono,kwani akitake
Advantage ya words zake za mdomo na action ya mkono,Hadi mono huquit

Masomo,baada ya kupigwa chobo na mguu ya Kati ndogo,just imagine ndani ya gari ndogo,kule sehemu ya backseat bila hata bedsheet,si backul ya seatbelt iliacha huyo girl na backache.
Kitambi Cha sugar daddy kimejaa kwa sharti kwa sababu ya ganji ya dhambi

Jitahadharini! Sugar daddy Ni hatari na Madame hawajafika thirty.

Kwani anahabari macladi na ganji hufurahisha Sanaa Madame wa hiyo kambiAm just Soo sick of this society where our daughters are losing their own virginity way before they even know the spelling of the word virginity

Excuse me sister Cathy,Matty,mnatty na wote wanna bahati ya kuattend hi party.mi si

Padree,hapa mko na simple Natty anayejaribu kuridhisha hi halaiki na hizi lyrics fiti ili mjiepushe na dhiki ya huu nyang’au gaidi.wote aliyewalungula walijionea huruma alipotoa kamtula kitambi icheze rumba

Kitambi Cha sugar daddy kimejaa kwa sharti kwa sababu ya ganji ya dhambi

Some girls are very unlucky,just imagine at a tender age of 13,Cathy alikuwa ashagwerwa na sugar daddy aliyemtumia taxi,iyompeleka maskani,pahali alimchanganya na kinyuaji,Kisha akamuona ndani,na hata hakumjali alipomcall daddy kwa simu ya jamii,”mteja wa nambari”

Si tayari alikua amemtupa? Hangeweza Tena kumbeba na trooper

Wacha ile intercooler alimpeleka nayo kwa ile duka, pahali alimbuyia ndula

Na amarula, akimdanganya eti ye ndio nguna super kuliko

Miss Cuba.Eti mnashtuka,si vile tu alimtupa,alikwachu maimuna

Akamtafuna tafuna halafu akamtupa ka mfupa, alipogwera sellah yule sistake

Mlesser,na si Ni mimba ya Domtilla ilifanya aitwe Kila baada ya kumpatia mita aiflash kabisa.

Kitambi Cha sugar daddy kimejaa kwa sharti kwa sababu ya ganji ya dhambi

Sijui Ni kwa Nini Madame wasupa,hujipata kwa mitego za mabuda dusla,wakiruka maboy murwa.Hujui eti virginity ya Dame before mahari,Ni Mali ghali Sanaa,kulingana na faith ya bobo shanti?

Now tell me,mbona ukubali mbuyu Ana maoffsprings, akuenjoy na maouting za kuku choma na chips,umpeelie off panties,halafu bed matrix ikuache in eclipse?

Niaje mnasahau hi story haraka na ilivuka Hadi mpaka.

Hukumbuki akienjoy daughter wa jirani na maouting za mbali akimdanganya na ganji halafu

Leave your vote

This post was created with our nice and easy submission form. Create your post!

More

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may use these HTML tags and attributes:

<a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <s> <strike> <strong>

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.