Tag: masomo

Safari ya mauti

(Safari ya mauti) Insi awapo katika himaya yake ya kuendeleza ghorofa ya maisha, katu huwa katika baraste iliyojaa mengi asiyoyajua. Je, umewahi kujikuta kwenye njia usioijua? Kulingana na wasomi ni wazi kuwa kupotea njia ndiko kujua njia. Riwaya hii itakupa jibu muafaka!  Safari ya Mauti imemsawiri binadamu katika ubinadamu wake wa sura, maumbile na hisia. Maudhui mengi ya kisasa yamechorwa ili kumpa msomi namna ya kuzikabili katika harakati zake za kila leo. Mathalani; Elimu, Ufisadi, Siasa, Dini, Tandavu, Teknolojia, Mapenzi nk. Miongoni mwa maudhui ainati yaliyokiumba kitabu hiki chenye mnato.  Umilikaji wenye mwonjo wa fani kochokocho za lugha umeipamba na...

Continue Reading →

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.

Open chat
1
Elong'o Publishers Support Team
Hello 👋
How can we help you?
Call Now Button