Elong'o Publishers

Publish
Online Library
Rent A Book

Makusudi ya Jana

150.00 /=600.00 /=

  • Author: MSHESHE R. RASHID
  • Edition: 1st
  • Language: English
  • Publisher: Elong'o Publisher
  Ask a Question

Description

MAKUSUDI ya JANA, ni riwaya yenye mvuto wa aiba ya kusomeka tena na tena. Masimulizi yake yapo wazi  tena niyakuakisika hasa ambavyo wahusika wake wamechukua nafasi kubwa kudhihirisha uhalisia wa hali ya maisha na matukio ya mambo katika jamii zetu. Maudhui ainati yameweza kuangaziwa kwa utaratibu,juhudi na udadisi mkubwa. Changamoto na Kero zinazotokea kwenye jamii pia zimejitokeza wazi katika masimulizi. Maudhui yaliolengwa Kwa Kuna ni kama vile; usahibu, ujirani, unasaba, utabaka, ulezi, dawa za kulevya, umasikini, ukwasi, Imani na dini, kasumba za kibinadamu n.k

Upekee wa kitabu hiki ni kuwa mifumo mbalimbali ya uandishi imetumika kuwasilisha ujumbe na maidhui ainati. Mwandishi  pia amedhihirisha ubunifu wa aina yake katika kazi ya utunzi wa riwaya yenyewe .
Azma kuu ni kujenga umilisi wa msomaji katika lugha ya kiswahili kwa kumwelekeza kwenye kanuni za tamathali,sarufi na mchakato mzima wa ubunifu.

 

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Makusudi ya Jana”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

No more offers for this product!

General Inquiries

There are no inquiries yet.