Mwongozo wa Bembea ya Maisha

(4 customer reviews)

Mwongozo huu umekusudia kumrahisishia mwalimu mwelekezi, mtahiniwa pamoja na wapenzi wote wa tamthilia kutambua dhamira yake Timothy Arege. Maudhui yamedondolewa moja baada ya lingine kwa kina. Aidha, umeweka wazi sifa kuu za kila mhusika na jinsi anavyoendeleza maudhui katika tamthilia hii.

KShs200.00KShs450.00

Clear
SKU: N/A Category: Tags: ,

About The Author

Eliud Mukungu

Eliud Mukungu

Eliud Mukungu ana shahada ya BA ( arts) kutoka chuo kikuu cha Makerere Uganda. Amechapisha kazi ainati ikiwemo hadithi yake ya’Nizikeni Nifapo’ katika diwani ya Kitumbua cha mauti na hadithi nyingine, Riwaya ya Moyo wa shujaa. Kwa sasa ni mwalimu wa kiswahili kwa mojawapo ya shule kule Lodwar.

4 reviews for Mwongozo wa Bembea ya Maisha

 1. Eliud Mukungu

  Wapenzi wa lugha na fasihi kwa ujumla, hii hapa kurunzi yetu. Kitabu safi 🙏. Shukrani zangu kwa mabingwa wanaotushika mkono.

 2. Salma loice

  Mwongozo huu kweli unafaa sana.

 3. Salma loice

  Mwongozo huu kweli unafaa sana. Kazi safi mkuu

 4. Mahli abdinasir

  How should I download a certain book

  • Elong’o Publishers

   Hello Mahli, kindly WhatsApp us on 0742433826 for direction on the same.

Add a review

Your email address will not be published.