Mwongozo wa Nguu za Jadi

BOOK category

Mwongozo wa Nguu za Jadi

Author(s): IGUNZA MWANATUNZI

About this book

IGUNZA MWANATUNZI

Ni mwalimu wa Kiswahili katika shule ya upili ya Kayole South. Vilevile ni mpenzi na mtetezi wa lugha hii pendwa ya Kiswahili. Ameandika Riwaya, Hadithi fupi nyingi na Mashairi pia. Ndiye mshindi wa tuzo la kimataifa la Kalahari 2020 https://collection-kalahari.com/sw/wasifu-wa-washindi-wa-kiswahili/

JULIDAH KEMUMA

Ni mwalimu mwenye tajriba kuu ya kufunza Kiswahili, kutahini na kusahihisha K.C.S.E. Amefunza katika shule ya upili ya Voi Boys na sasa anafunza katika shule ya upili ya Kayole South Nairobi.Ni mwandishi chipukizi katika ulingo huu wa fasihi ya Kiswahili.