MIZANI YA MOYO

BOOK category

MIZANI YA MOYO

About this book

Mizani Ya Moyo ni hadithi ya mapenzi, usaliti, maumivu na safari ya kutafuta maana ya upendo wa kweli. Ikimfuata Shebe katika mahusiano yake yenye misukosuko, riwaya hii inatuonyesha namna moyo wa mtu unavyoweza kujitoa kwa dhati, kuvunjwa, kujeruhiwa na bado kutamani kupenda tena. Kutoka kwenye mapenzi yanayokumbwa na udanganyifu na usaliti hadi kwenye mahusiano yanayohitaji uvumilivu, uaminifu na maamuzi magumu, Shebe anakutana na sura mbalimbali za mapenzi na kujifunza kwamba si kila kinachoonekana kuwa upendo ni upendo wa kweli. Kwa asilimia kubwa, simulizi hii imetokana na matukio ya kweli katika maisha ya mwandishi, huku baadhi ya majina yakibadilishwa.