SARUFI

About this book

Sarufi: Kitabu cha Kuelewa sio cha Kukariri

Kiswahili Sarufi Gredi 6: Kitabu cha Kuelewa sio cha Kukariri kimeandaliwa maalum kwa wanafunzi wa gredi ya 6 ili kuwasaidia kuelewa kwa kina misingi ya sarufi bila kubahatisha wala kukariri. Kitabu hiki kinazingatia silabasi yote ya sarufi ya gredi ya 6 kwa lugha rahisi, mifano elekezi na mazoezi bora yanayojenga uelewa na kuongeza ufaulu.

Kitabu hiki kimegawanywa katika:

  • Masomo sita muhimu yanayojumuisha silabasi yote ya gredi ya 6.
  • Ufafanuzi wa kina ukisaidiwa na mifano rahisi.
  • Mazoezi baada ya kila somo ili kuimarisha uelewa na kujenga imani ya mwanafunzi.

Kitabu hiki ni rafiki wa kweli wa mwanafunzi anayehenga kufaulu na kuijua sarufi kwa ufasaha.