Rejea Mama

Author(s): Christine Wanjiku

About this book

Rejea Mama ni novela ya kusisimua kuhusu binti anayekua katikati ya majonzi baada ya mama kuugua na baba kuondoka. Anapokutana na Meshi, mlezi wa kanisa mwenye moyo wa huruma, anagundua kuwa hata gizani bado kuna mwanga wa matumaini.