Safari ya mauti

 

 

 

KShs200.00KShs500.00

Clear
SKU: N/A Category: Tag:

About The Author

William Gitonga Murianki

William Gitonga Murianki

Gitonga Murianki amehitimu kwa shahada ya Kiswahili na Jiografia kutoka Chuo Kikuu cha Mt. Kenya. Amekuwa mwalimu wa lugha na mtahini kwa miaka mingi. Sasa anafundisha shule upili ya Kyamboo kaunti ya Kitui.

Safari ya Mauti imemsawiri binadamu katika ubinadamu wake wa sura, maumbile na hisia.  Insi awapo katika himaya yake ya kuendeleza ghorofa ya maisha, katu huwa katika baraste iliyojaa mengi asiyoyajua. Je, umewahi kujikuta kwenye njia usioijua? Kulingana na wasomi ni wazi kuwa kupotea njia ndiko kujua njia. Riwaya hii itakupa jibu muafaka!

 Kitabu hiki kimemsawiri binadamu katika ubinadamu wake wa sura, maumbile na hisia. Maudhui mengi ya kisasa yamechorwa ili kumpa msomi namna ya kuzikabili katika harakati zake za kila leo. Mathalani; Elimu, Ufisadi, Siasa, Dini, Tandavu, Teknolojia, Mapenzi nk. Miongoni mwa maudhui ainati yaliyokiumba kitabu hiki chenye mnato.

Umilikaji wenye mwonjo wa fani kochokocho za lugha umeipamba na kuiremba riwaya hii ya Safari ya mauti.

  Mwandishi Bw. Gitonga amekuandalia fasihi yenye utamu na wingi wa tafiti. Usikose kukiwahi katika maduka ya vitabu. Ama kweli aendaye kisimani mbele hunywa maji maenge.

    

 

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Safari ya mauti”

Your email address will not be published.