SUMU GIZANI

Mazingira ndiyo chanzo cha insi yeyote kufuzu. Lakini je, mazingira hayo yatachangia vipi kufuzu kwake? Maisha bila adha huwa malegevu yaani aushi bila thakili basi sio aushi! Changamoto ni sehemu kubwa ya maisha yaani ni sawa na kiungo chochote cha mwili kikosapo basi utaitwa mlemavu.  SUMU

GIZANI!  Nani aliyeligwa hii sumu? Mbona akamliga gizani? Riwaya hii itakupa taswira tosha kuhusu hali halisi ya maisha tuliyomo. Leo unaweza ukawa tajiri kisha kesho ukawa mtule asiyemiliki hata tone la mate kinywani.

Maudhui yamezingatiwa ipasavyo kurejelea sajili mbalimbali tulizomo. Je, utamu wa lugha nao? Bila shaka mapochopocho mazuri yatakayokupa hamu yamepikwa yakapikika si Methali za kisasa si Misemo si Tashbihi taja yote!

KShs150.00KShs280.00

Clear
Author
SKU: N/A Category: Tags: , ,

Book Details

Choose Copy

eBook, Hard Copy

Publisher

Elong'o Publishers

About The Author

Kaka Fred

Kaka Fred

Kaka Fred ni mwandishi tajika aliye na umilisi wa fasihi ya watoto. Ameandika miswada ainati ikiwemo Riwaya, Diwani ya Hadithi Fupi na Vitabu vya kiada.

 Malengo yamesawiriwa vilivyo ili kumpa msomi yeyote mbinu chanya ya kukabili maisha. Asilimia kubwa ya waja hukata tamaa pasi na kujua kuwa baada ya giza ni nuru. Usitumie mate tumia wino!

Mazingira ndiyo chanzo cha insi yeyote kufuzu. Lakini je, mazingira hayo yatachangia vipi kufuzu kwake? Maisha bila adha huwa malegevu yaani aushi bila thakili basi sio aushi! Changamoto ni sehemu kubwa ya maisha yaani ni sawa na kiungo chochote cha mwili kikosapo basi utaitwa mlemavu.  SUMU

GIZANI!  Nani aliyeligwa hii sumu? Mbona akamliga gizani? Riwaya hii itakupa taswira tosha kuhusu hali halisi ya maisha tuliyomo. Leo unaweza ukawa tajiri kisha kesho ukawa mtule asiyemiliki hata tone la mate kinywani.

Maudhui yamezingatiwa ipasavyo kurejelea sajili mbalimbali tulizomo. Je, utamu wa lugha nao? Bila shaka mapochopocho mazuri yatakayokupa hamu yamepikwa yakapikika si Methali za kisasa si Misemo si Tashbihi taja yote!

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “SUMU GIZANI”

Your email address will not be published.