Sale!

Uhakiki wa Sarufi na Insha

Baada ya kuzindua Uhakiki wa Fasihi na Isimujamii, kulikuwa na haja ya kuzindua Uhakiki wa Sarufi na Insha. Sarufi ni mojawapo wa mada muhimu katika karatasi ya pili ambayo inazidi kuwatatiza wanafunzi wengi. Vitabu vingi vya sarufi vimeandikwa lakini kuna haja ya kuingiza masuala ibuka katika sarufi. Kitabu hiki kimeweza kuangazia masuala ibuka katika utahini wa sarufi. Vipengele kama vile kiima, kiarifu, chagizo, kijalizo, uchanganuzi wa sentensi  kwa njia ya mistari na mstari, kirai, kishazi ni vipengele vingine vimeangaziwa kwa kina katika kitabu hiki.

 

KShs200.00KShs500.00

Clear
SKU: N/A Category:

About The Author

John Wanjala

JOHN W. WANJALA alias O’shea is a prominent author in both Kiswahili literature and revision books. He has written various books such as  Punda Amechoka, Uhakiki wa Fasihi na Isimujamii, Uhakiki wa Sarufi na Insha  Ganda la Muwa. Wanjala is a professional teacher of Kiswahili and History. Currently he is teaching at Kinyui Boys’ High School, Machakos. Formerly he was teaching at Friends Secondary School Misanga, Bungoma.

 

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Uhakiki wa Sarufi na Insha”

Your email address will not be published.