Chozi Langu

Assigned Users:

Price range: KShs200 through KShs500

Chozi Langu

eBook Hardcopy
  • eBook
    EBook
  • Hardcopy
    Hardcopy
Clear
N/A

Baada ya uchaguzi jina Nyota lilipitishwa katika mchujo ule ndani ya chama chake. Nyota lilivyo jina lake sasa akang’aa zaidi ya wengine. Ilikuwa jambo aula na la kushangaza kuwapiku wagombezi wake zaidi ya wanaume wanane bila kutia jasho walivyofanya wao. Ama kweli Chanda chema huvikwa pete. Jina Rais liling’aa kila pande ya nchi hasa tamko mwanamke Rais likawa la kwanza kuingia vinywa vya watu.
Uchungu wa Majuma uligeuka sherehe yenye vitamu na vinono. Majuma kwake aliridhika kwani Chozi lake lilikuwa limebadilika na kuwa furaha yenye tabasamu.
“Mungu si mtu. Mungu siku zote hamwachi mwanawe.” Alijiambia Majuma huku ameketi ikulu ya mwanawe. Hapo kijana mmoja kwa jina Emmanuel alisimama na kumpa pongezi kwaa shairi lake Salim Shekh.

Choose Book Type

,