Elong'o Publishers

MSINGI WA KARATASI YA TATU

200.00 /=500.00 /=

  • Author: EDWIN ODERO
  • Edition: First
  • Language: Kiswahili
  • Publisher: Elong'o Publishers
  Ask a Question

Kijitabu hiki kitabu kimeandaliwa kwa ustadi sana. Kitabu hiki kinalenga kuwasaidia watahiniwa wa shule ya upili katika kuelewa mabadiliko ya kimtindo ya utahini wa karatasi ya tatu kutoka kwa kanseli ya KNEC.   Mitihani ya kitaifa ya siku hizi imebadilika na maswali yanahitaji watahiniwa kuwaza kwa kina basi ni vyema kutambua vipengele hivyo muhimu vinavyotahiniwa sasa, kuvichambua na kuviweka wazi ili mambo yasiwe mrama.

 

Kitabu hiki kimezingatia mambo yafuatayo:

  1. Uwasilishaji murua na unaoleweka kwa vipengele tofauti tofauti katika karatasi ya tatu yaani fasihi andishi na fasihi simulizi
  2. Maelezo mazuri kuhusu maswala ibuka karatasi ya tatu. Maelezo haya yatampa mwanafunzi mafunzo kuhusu namna ya kuchambua mabadiliko yaliyomo katika karatsi ya tatu.

 

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “MSINGI WA KARATASI YA TATU”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

No more offers for this product!

General Inquiries

There are no inquiries yet.