Elong'o Publishers

MWONGOZO WA MAPAMBAZUKO YA MACHWEO NA HADITHI NYINGINE

200.00 /=500.00 /=

  • Author: Sylevester A. Momanyi o Micah Kosgei o Jackline Nyanchama o Florence Obonyo
  • Edition: First
  • Language: English
  • Publisher: Elong'o Publishers
  Ask a Question

Kitabu chochote cha fasihi husomwa na kuchambuliwa ili kuyapata malengo halisi ya mwandishi. Diwani Mapambazuko ya Machweo na Hadithi nyingine ni Diwani ya aina yake kwa sababu imeangazia masuala mbalimbali na yanavyoiathiri jamii. Mwongozo huu umeangazia vipengele vyote vya uchambuzi ikiwemo; Ufaafu wa anwani za hadithi husika, maudhui muhimu, sifa na umuhimu wa Wahusika Pamoja na vipengele vya kimtindo.

Mwongozo huu ni nguzo na msingi bora kwa mwanafunzi anayetamani kuboresha matokeo yake na  kufanya vyema kwenye mtihani wa kitaifa KCSE