Elong'o Publishers

Publish
Online Library
Rent A Book

Muongozo wa Bembea ya Maisha

150.00 /=600.00 /=

  • Author: Edwin Odero
  • Edition: 1st
  • Language: Swahili
  • Publisher: Elong'o Publisher
  Ask a Question

Description

Mwongozo huu wa Bembea ya Maisha ni kitabu kilichoandaliwa kwa umahiri sana ili kumwauni mwanafunzi katika tamthilia ya Bembea ya maisha na karatasi ya fasihi kwa jumla. Pia, kimeweka wazi vipengele vyote vya fasihi na sehemu muhimu zinazotahiniwa katika karatasi ya tatu.

Isitoshe, ni mwongozo muhimu kwa mtahiniwa na mwalimu kwa maandalizi kwani kinaweka bayana maswala ibuka katika fasihi andishi na vipengele  anuwai na mambo yanayochipuka katika utahini wa karatasi ya tatu kwa jumla.{102/3}                                        

 

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Muongozo wa Bembea ya Maisha”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

No more offers for this product!

General Inquiries

There are no inquiries yet.