Malenga wa Kenya 1

Kaka Fred, Lilian Alividza, Elisha Otoyi,

Okwalo Wambani, Alfred Lobawoi, Patrick Kioko, Jimmy Kiplimo, Bright Akinyi Odeng, Vincent Imbali, Ali Moti Mwanza, Kipkoech Kelvin,

Geoffrey N. Ogola, Timothy Sumba, Derrick Masika, Benson Baya Sulubu, Isaac Kisa Juma, Faith Machayo, Erick Teitei Muteti, Zack Nebar, Agadias Ikoha, Eric Omondi, Sophie Binsari, Robert Bin Kirui, Christopher Musa Kalunda, Sharon Wekesa, Victoria Wamwoyo, Eric Wasike, Tabitha Mawia Manzi, Opetuh Philip, Dominic K. Mwania.

 

KShs300.00KShs400.00

Clear
Author
SKU: N/A Category:

Book Details

Choose Copy

eBook, Hard Copy

Publisher

Elong'o Publishers

About The Author

Kaka Fred

Kaka Fred

Kaka Fred ni mwandishi tajika aliye na umilisi wa fasihi ya watoto. Ameandika miswada ainati ikiwemo Riwaya, Diwani ya Hadithi Fupi na Vitabu vya kiada.

 Malengo yamesawiriwa vilivyo ili kumpa msomi yeyote mbinu chanya ya kukabili maisha. Asilimia kubwa ya waja hukata tamaa pasi na kujua kuwa baada ya giza ni nuru. Usitumie mate tumia wino!

Malenga wa Kenya ni diwani ya ushairi kwa hadhira lengwa ya shule za msingi. Tungo zimekumbatia mtaala mpya wa elimu. Mada  zimedondolewa silabasini. Isitoshe, msamiati sahili uliooneshwa silabasini umezingatiwa ili wanafunzi waanzie kwa wayajuayo kisha mengineyo baadaye. Kimsingi, azma ya washairi ni kuelimisha kwa ucheshi na burudani. Kusoma kwa aina hii hakuchoshi akili.

Matumaini yetu ni kuwa kwa kusomasoma, na kughanighani mashairi wanafunzi watajichotea ubunifu na maarifa kedekede.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Malenga wa Kenya 1”

Your email address will not be published.