Description
Anthonolojia ya Najivunia kuwa Mkenya na hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi zenye msuko wa aina yake. Msuko ambao umezingatia pakubwa arudhi za lugha na fani mbali mbali ili kuumba taswira kamili ya matukio na muundo wa hadithi zenyewe. Kuwepo kwa picha, maswali na sherehe katika kitabu hichi kunachangia pakubwa kumpa msomaji; awe mwanafunzi, mwalimu ama mpenda Sanaa yeyote kupata kuelewa kwa kina kazi hii ya fasihi. Kwa mpenzi wa fasihi na lugha ya Kiswahili hichi ni kitabu chako bila shaka.
Reviews
There are no reviews yet.