Blog

Malenga wa Kenya 2

Malenga wa Kenya ni diwani ya ushairi kwa hadhira lengwa ya shule za msingi. Tungo zimekumbatia mtaala mpya wa elimu. Mada zimedondolewa silabasini. Isitoshe, msamiati sahili uliooneshwa silabasini umezingatiwa ili wanafunzi waanzie kwa wayajuayo kisha mengineyo baadaye. Kimsingi, azma ya washairi ni kuelimisha kwa ucheshi na burudani. Kusoma kwa aina hii hakuchoshi akili.

Oops, Restricted Content

We are sorry but this Book is restricted to folks that have purchased the Book.

More

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.