MAKUSUDI ya JANA, ni riwaya yenye mvuto wa aiba ya kusomeka tena na tena. Masimulizi yake yapo wazi tena niyakuakisika hasa ambavyo wahusika wake wamechukua nafasi kubwa kudhihirisha uhalisia wa hali ya maisha na matukio ya mambo katika jamii zetu. Maudhui ainati yameweza kuangaziwa kwa utaratibu,juhudi na udadisi mkubwa. Changamoto na Kero zinazotokea kwenye jamii pia zimejitokeza wazi katika masimulizi. Maudhui yaliolengwa Kwa Kuna ni kama vile; usahibu, ujirani, unasaba, utabaka, ulezi, dawa za kulevya, umasikini, ukwasi, Imani na dini, kasumba za kibinadamu n.k
Upekee wa kitabu hiki ni kuwa mifumo mbalimbali ya uandishi imetumika kuwasilisha ujumbe na maidhui ainati. Mwandishi pia amedhihirisha ubunifu wa aina yake katika kazi ya utunzi wa riwaya yenyewe .
Azma kuu ni kujenga umilisi wa msomaji katika lugha ya kiswahili kwa kumwelekeza kwenye kanuni za tamathali,sarufi na mchakato mzima wa ubunifu.
Reviews
There are no reviews yet.