Blog

Safari ya Dafina

vDafina na wanafunzi wenzake wanapoanza ziara yao,wana matamanio chungu nzima na kwina kubwa ya kutaka kujua zaidi. Safari yao iliyoandaliwa ikaandalika inawaelekeza kwenye karakana na himaya ya mzee Maarifa. Hapa wanakutana ana kwa ana na dunia ya ufundi wa vifaa vyote mja hutumia ili kufanikisha kazi. Wanashuhudia malighafi kama vile miti,vyuma na plastiki yakibadilishwa na kuunda bidhaa na vifaa anuwai. Hapo wanashiba msamiati wa vyombo anuwai. Safari yao inawaelekeza kwenye duka moja lenye ukwasi mkubwa wa vifaa vya kisasa vya viwanda vya ndani ya nchi na kutoka nje ya nchi. Ama kweli kutembea kwingi kuona mengi. Dafina anajiwekea dafina ya mambo mengi. Je,ni kwa nini aliishia kuiita safari hii kuwa SAFARI YA DAFINA? Soma uijue siri iliyofichamana katika usiri huu.

Oops, Restricted Content

We are sorry but this Book is restricted to folks that have purchased the Book.

More

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.