Elong'o Publishers

Publish
Online Library
Rent A Book

Safari ya Dafina

100.00 /=250.00 /=

  • Author: Ustadh Kamau
  • Edition: 1st
  • Language: Swahili
  • Publisher: Elong'o Publisher
  Ask a Question

Description

Dafina na wanafunzi wenzake wanapoanza ziara yao,wana matamanio chungu nzima na kwina kubwa ya kutaka kujua zaidi. Safari yao iliyoandaliwa ikaandalika inawaelekeza kwenye karakana na himaya ya mzee Maarifa. Hapa wanakutana ana kwa ana na dunia ya ufundi wa vifaa vyote mja hutumia ili kufanikisha kazi. Wanashuhudia malighafi kama vile miti,vyuma na plastiki yakibadilishwa na kuunda bidhaa na vifaa anuwai. Hapo wanashiba msamiati wa vyombo anuwai. Safari yao inawaelekeza kwenye duka moja lenye ukwasi mkubwa wa vifaa vya kisasa vya viwanda vya ndani ya nchi na kutoka nje ya nchi. Ama kweli kutembea kwingi kuona mengi. Dafina anajiwekea dafina ya mambo mengi. Je,ni kwa nini aliishia kuiita safari hii kuwa SAFARI YA DAFINA? Soma uijue siri iliyofichamana katika usiri huu.

 

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Safari ya Dafina”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

No more offers for this product!

General Inquiries

There are no inquiries yet.