Blog

SUMU GIZANI

Mazingira ndiyo chanzo cha insi yeyote kufuzu. Lakini je, mazingira hayo yatachangia vipi kufuzu kwake? Maisha bila adha huwa malegevu yaani aushi bila thakili basi sio aushi! Changamoto ni sehemu kubwa ya maisha yaani ni sawa na kiungo chochote cha mwili kikosapo basi utaitwa mlemavu. SUMU

GIZANI! Nani aliyeligwa hii sumu? Mbona akamliga gizani? Riwaya hii itakupa taswira tosha kuhusu hali halisi ya maisha tuliyomo. Leo unaweza ukawa tajiri kisha kesho ukawa mtule asiyemiliki hata tone la mate kinywani.

Oops, Restricted Content

We are sorry but this Book is restricted to folks that have purchased the Book.

More

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.