Elong'o Publishers

Publish
Online Library
Rent A Book

Sumu Gizani

150.00 /=600.00 /=

  • Author: Kaka Fred
  • Edition: 1st
  • Language: Swahili
  • Publisher: Elong'o Publisher
  Ask a Question

Mazingira ndiyo chanzo cha insi yeyote kufuzu. Lakini je, mazingira hayo yatachangia vipi kufuzu kwake? Maisha bila adha huwa malegevu yaani aushi bila thakili basi sio aushi! Changamoto ni sehemu kubwa ya maisha yaani ni sawa na kiungo chochote cha mwili kikosapo basi utaitwa mlemavu.  SUMU GIZANI!  Nani aliyeligwa hii sumu? Mbona akamliga gizani? Riwaya hii itakupa taswira tosha kuhusu hali halisi ya maisha tuliyomo. Leo unaweza ukawa tajiri kisha kesho ukawa mtule asiyemiliki hata tone la mate kinywani.

Maudhui yamezingatiwa ipasavyo kurejelea sajili mbalimbali tulizomo. Je, utamu wa lugha nao? Bila shaka mapochopocho mazuri yatakayokupa hamu yamepikwa yakapikika si Methali za kisasa si Misemo si Tashbihi taja yote!

 

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Sumu Gizani”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

No more offers for this product!

General Inquiries

There are no inquiries yet.