Blog

Uhakiki wa Sarufi na Insha

Baada ya kuzindua Uhakiki wa Fasihi na Isimujamii, kulikuwa na haja ya kuzindua Uhakiki wa Sarufi na Insha. Sarufi ni mojawapo wa mada muhimu katika karatasi ya pili ambayo inazidi kuwatatiza wanafunzi wengi. Vitabu vingi vya sarufi vimeandikwa lakini kuna haja ya kuingiza masuala ibuka katika sarufi. Kitabu hiki kimeweza kuangazia masuala ibuka katika utahini wa sarufi. Vipengele kama vile kiima, kiarifu, chagizo, kijalizo, uchanganuzi wa sentensi  kwa njia ya mistari na mstari, kirai, kishazi ni vipengele vingine vimeangaziwa kwa kina katika kitabu hiki.

Oops, Restricted Content

We are sorry but this Book is restricted to folks that have purchased the Book.

Leave your vote

More

Add to Collection

No Collections

Here you'll find all collections you've created before.

Open chat
1
Elong'o Publishers Support Team
Hello 👋
How can we help you?
Call Now Button