DARAJA LA UFANISI ni kitabu aula kinachoweka wazi masuala
yote yanayohusiana na Mashairi na Sarufi. Vipengele mbalimbali
katika ushairi vinavyotahiniwa katika mitihani ya kitaifa vimejadiliwa
kwa fusuli.Mada mbalimbali za sarufi zimejadiliwa na maelezo yametolewa
kwa uwazi kuhusu mitindo mbalimbali inayotumika katika utahini
wa mada hizo. Aidha kina maswali tele ya mitihani ya kitaifa ya
miaka ya awali. Kitawafaa sana wanafunzi katika maandalizi ya
mitihani ya kitaifa.
Daraja la ufanisi
300.00 /= – 800.00 /=
- Author: Jackson Njoroge Maina
- Edition: First
- Language: Kiswahili
- Publisher: Elong'o Publishers
No more offers for this product!
General Inquiries
There are no inquiries yet.
Reviews
There are no reviews yet.