Kitabu hiki kimezingatia mambo yafuatayo:
1. Maelezo kuhusu mambo muhimu ya kuzingatia katika karatasi ya kwanza. Maelezo haya yatamfaa mwanafunzi kumudu alama nzuri katika insha zote nne.
2. Ufafanuzi kwa kina kifaacho katika kila swali ya karatasi ya kwanza utakao mwezesha mwanafunzi kumudu maswali yanayotahiniwa.
3. Kimetoa mifano maridhawa kwa kila insha ili kurahisisha marudio kwa mwanafunzi
4. Kina mitihani kielelezo inayolenga kunoa makali ya mwanafunzi.
EDWIN ODERO ni mwalimu mwenye uzoefu na tajriba pevu katika ufundishaji wa Kiswahili. Ni mshiriki katika majopo mbalimbali ya somo la Kiswahili. Pia amehusika pakubwa katika kuwashauri wanafunzi wa shule mbalimbali kuhusu namna ya kukabiliana na mitihani ya Kiswahili.
Mbali na kitabu hiki, usikose nakala mbalimbali kama vile:
1. Bohari la karatasi ya kwanza
2. Msingi wa karatasi ya pili
3. Mwongozo wa Bembea ya Maisha
4. Msingi wa karatasi ya tatu
5. Mazoezi chapuchapu ya marudio ya Bembea ya Maisha
6. Mazoezi chapuchapu ya marudio ya Mapambazuko ya Machweo
7. Darubini ya isimujamii
Reviews
There are no reviews yet.