MWONGOZO HUU UMETAYARISHWA KWA SHABAHA YA KUWAFAA NA KUWAPA DIRA WANAFUNZI KATIKA UCHAMBUZI WA TAMTHILIA YA BEMBEA YA MAISHA. KWA MAELEZO ZAIDI, WASILIANA NA MWANDISHI KUPITIA 0731710253 / 0723272956 Jackson Maina ni mwalimu mwenye ukwasi wa lugha ya Kiswahili na ana tajriba kubwa. Amefundisha katika shule ya upili ya Kisima mjini Nyahururu na baadaye katika Shule ya Upili ya Pioneer. Kwa sasa yeye ni mwalimu wa somo la Kiswahili katika shule ya upili ya wavulana ya Mary Mother.
Reviews
There are no reviews yet.